Deutsche Welle: Watu 6 wameuwawa na wengine 10 kujeruhiwa wakati watu wenye silaha walipowafyetulia risasi waumini katika kanisa la Nasarawa huko Gombe Nigeria.
Marekani yapiga kura ya turufu juu ya taifa la Palestina kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa+++ Scholz asema hakuna sababu kwa nchi wananchama wa NATO kutopeleka mifumo ya ulinzi wa anga Ukraine+++ Bayer Leverkusen wametinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
EU kuweka vikwazo vipya kwa wazalishaji wa droni na makombora wa Iran+++Qatar inatathmini upya jukumu lake la upatanishi kati ya Israel na Hamas+++UN yatoa wito kwa Sudan Kusini kuharakisha uchaguzi uliocheleweshwa
Israel yamuuwa kamanda wa Hezbollah katika shambulizi Lebanon // Rais Xi wa China na Kansela Scholz wa Ujerumani waonya dhidi ya vizuizi vya kibiashara // Na wafadhili wa kimataifa waahidi dola milioni 630 za kuushughulikia mzozo wa kibinaadamu Ethiopia