Deutsche-Welle: Dortmund ,mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Ujerumani,imeitoa timu ndogo ya Holstein Kiel, katika robo fainali ya kombe la shirikisho.
Wakati Kombe la Mataifa ya Afrika litakapoanza Januari, vilabu kadhaa vya ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga vitalazimika kucheza bila ya wachezaji wake nyota.
Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakapoanza Januari, klabu katika ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga zitakuwa bila ya wachezaji wao kadhaa muhimu.