Deutsche Welle: Kiongozi wa kundi la kigaidi la al-Qaeda, Ayman al-Zawahri, amesema kundi la Al-Shabaab limejiunga na mtandao huo duniani.
Chama kikubwa kabisa cha waandishi habari Ugiriki kinafanya mgomo wa sekta zote za habari kwa saa 24. Televisheni na redio za Ugiriki hazikurusha habari zozote na mitandao ya intanet haikuchapisha habari kwenye tovuti.
Rais Joe Biden akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Ufilipino na Japan+++Baraza la Usalama lashindwa kuafikiana juu ya ombi la uanachama wa Palestina katika Umoja wa Mataifa+++Vyombo vya habari vya Mali vyapigwa marufuku kutangaza habari za siasa.
Muhtasari wa Habari: Japan na Marekani zatangaza kuimarisha ushirikiano wa kiusalama // Upinzani washinda uchaguzi wa bunge nchini Korea Kusini// Utawala wa kijeshi nchini Mali wazuia shughuli za vyama vya siasa.