Deutsche Welle: Schalke yakwea nafasi ya pili katika ligi ya Ujerumani, Bundesliga, baada ya kuichabanga Hertha Berlin mabao 2-1, huku Bayern Munich ikiwa kileleni.
Bayer Leverkusen wameshinda taji la ligi kuu ya kandanda Ujerumani - Bundesliga kwa mara ya kwanza katika historia yao ya miaka 120.
Bayer Leverkusen inaendelea kuandikisha rekodi ya ushindi wa tisa mfululizo ya kutopoteza katika michezo 41 ya mashindano yote msimu huu na wanahitaji ushindi mmoja tu kutoka kwa mechi zao zilizosalia ili kushinda taji la Bundesliga kwa mara ya kwanza.
Bayern Munich itawakosa wachezaji wake kadhaa walioumia katika mechi ya ugenini dhidi ya Heidenheim Jumamosi (06.04.2024). Bayern inahitaji kurudi katika fomu yake na kupata matokeo baada ya kupigwa 2-0 na Dortmund.