1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

16.10.2017 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S16 Oktoba 2017

Idadi ya watu waliouawa katika mashambulizi mawili ya mabomu katika mji mkuu wa Somalia mwishoni mwa juma Mogadishu, sasa imepindukia 300// Nchini Kenya hali si shwari katika maeneo mengi ya taifa hilo baada ya kuanza maandanamo ya kila siku ya kupinga tume ya uchaguzi// Upinzani nchini Venezuela umekataa kuyatambua matokeo ya uchaguzi wa serikali za majimbo.

https://p.dw.com/p/2ltYX