Rais wa Uganda Yoweri Museveni yuko ziarani nchini Kenya ambako anadhamiria kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia+++Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa wito wa kuzuiwa kimataifa kwa biashara ya madini kutoka nchi jirani ya Rwanda, ambayo Kongo inaituhumu kutumia vikundi vya waasi kuiba rasilimali zake