Deutsche Welle: Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Leon Panetta, awasili nchini Libya kwa ziara ya kikazi inayotathmini masuala ya usalama baina ya nchi hizo mbili.
Tunisia imefanya mkutano wa kwanza wa ushauri na viongozi wa Algeria na Libya kwa matumaini ya kuanzisha muungano mpya wa eneo la Maghreb.
Ujumbe wa Umoja wa Mataifa unaoisaidia Libya umetoa wito jana Jumapili wa uchunguzi wa kifo cha mwanaharakati wa kisiasa aliyekuwa akizuiwa katika kambi moja kijeshi mashariki mwa nchi hiyo.
Abdoulaye Bathily amejiuzulu katika wadhifa wake, akisema shirika hilo la kimataifa haliwezi kufanikiwa kuunga mkono mabadiliko ya kisiasa ya nchi hiyo.