1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.04.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S19 Aprili 2018

Israel imeanza maadhimisho ya kutimiza miaka 70 tangu kuundwa kwake usiku wa Jumatano ambapo waziri mkuu wa taifa hilo Benjamin Netanyahu ametumia maadhimisho hayo kuwaonya maadui zake na pia kugusia mahusiano mazuri na baadhi ya mataifa ya kiarabu

https://p.dw.com/p/2wKTU