1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.10.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S19 Oktoba 2017

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amesema leo anaweza kutafakari upya uamuzi wake wa kujitoa kwenye uchaguzi mpya wa rais, iwapo kutakuwepo na hatua katika kuufanyia marekebisho mchakato wa uchaguzi//Serikali ya Uhispania imesema kuwa inadhamimiria kutwaa baadhi ya mamlaka ya serikali ya jimbo la Catalonia baada ya kiongozi wake kutishia kuwa anaweza kutangaza uhuru wa jimbo hilo.

https://p.dw.com/p/2mByI