1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

19.10.2017 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S19 Oktoba 2017

Mwenyekiti wa Tume ya Uwiano na Utangamano nchini Kenya Francis Ole Kaparo amelaani wanasiasa ambao amewatuhumu kuchafua mazingira ya siasa nchini humo// Kiongozi wa Catalonia Carles Puigdemont ametishia kutangaza uhuru wa jimbo lake la Catalonia kutoka Uhispania ikiwa hakutokuwepo na mazungumzo baina ya upande wake na ule wa serikali kuu ya Uhispania.

https://p.dw.com/p/2mAFn