Deutsche Welle:Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amkubali Joachim Gauck kuwa mgombea Urais kufuatia kujiuzulu kwa Christian Wulff.
Mpango wa Uingereza kuwapeleka wahamiaji nchini Rwanda waidhinishwa na Bunge. Rais wa Poland asema nchi yake iko tayari kupokea na kuhifadhi silaha za nyuklia za NATO. Viongozi wa Afrika watoa wito wa ushirikiano ili kupambana na ugaidi barani humo.
Watu 22 wauawa Rafah kufuatia mashambulizi ya Israel. +++ Viongozi wa Umoja wa Ulaya kujadili ulinzi wa anga kwa Ukraine na vikwazo zaidi kwa Iran. +++ Magenge ya wahalifu yaanzisha mashambulizi mapya katika mji mkuu wa Haiti, Port-au-Prince.
Iran yaashiria haina mpango wa kujibu shambulizi la Israel-ripoti+++Israel yasema imeruhusu msaada zaidi kuingia Gaza+++Chad yaitaka Marekani kusitisha shughuli zake za kijeshi nchini humo