1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.10.2017 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S20 Oktoba 2017

Hali ya sintofahamu imeligubika taifa la kenya wiki moja tu kabla uchaguzi wa urais kufanyika kwa mara ya pili nchini humo// Somalia inakabiliwa na matatizo ya kiusalama kwa miongo kadhaa sasa kutokana na hali tete ya kisiasa nchini humo pamoja na kundi la kigaidi la Al Shabab linalofanya mashambulizi ya mara kwa mara.

https://p.dw.com/p/2mE9F