1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

20.10.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S20 Oktoba 2017

Rais Uhuru Kenyatta amewahakikishia usalama wakenya watakaopiga kura katika uchaguzi mpya siku ya tarehe 26 mwezi huu wa Oktoba// kiongozi wa muungano wa upinzani- NASA Raila Odinga amewatembelea wahanga wa hatua zilizochukuliwa na polisi kwenye maandamano ya kutaka mabadiliko katika tume ya uchaguzi nchini kabla ya uchaguzi mpya wa rais, katika kaunti za Siaya na Kisumu, Kenya.

https://p.dw.com/p/2mGdr