1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.02.2018 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S21 Februari 2018

Wizara ya fedha ya Afrika Kusini leo hii inatarajiwa kutangaza hatua zake kali za kuinua mapato na kulidhibiti pengo la bajeti yake ya mwaka 2018 //Licha ya kuachiwa kwa mwenzao aliyekamatwa na kuzuiliwa mahala pasipojulikana kwa muda wa wiki moja bila kufikishwa mahakamani, wandishi habari nchini Uganda wamo katika mashaka makubwa.

https://p.dw.com/p/2t2Dq