1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.02.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S21 Februari 2018

Muungano wa asasi za kiraia nchini Tanzania AZAKI, umelitaka taifa hilo kuwa na mfumo au chombo huru cha kuchunguza na kusimamia mashtaka yanayohusu vyombo vya usalama // Mashambulizi ya angani ya Syria na Urusi katika eneo linalodhibitiwa na waasi la Ghouta mashariki yamewaua raia zaidi ya 100

https://p.dw.com/p/2t4Nc