1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

21.10.2017: Matangazo ya Asubuhi

Lilian Mtono
21 Oktoba 2017

Sikiliza yanayoendelea kujiri katika mchakato wa madai ya uhuru wa jimbo la Catalonia. Sera ya kigeni ya China huenda ikapata nguvu baada ya mkutano mkuu wa chama cha Kikomunisti na uchafuzi wa mazingira unaua watu wengi Zaidi kila mwaka.

https://p.dw.com/p/2mHPm