1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

22.02.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S22 Februari 2018

Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa chuo cha usafirishaji cha taifa, NIT nchini Tanzania, Akwilina Akwilini aliyeuawa kwa risasi Ijumaa iliyopita jijini Dar es Salaam unaagwa hii leo katika viwanja vya chuo hicho cha NIT// Syria- Baraza la usalama la Umoja wa mataifa linatarajiwa kuupigia kura mswaada wa azimio unaodai silaha ziwekwe chini kwa muda wa siku 30 katika ngome ya waasi.

https://p.dw.com/p/2t8iM