1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

23.02.2018 Matangazo ya mchana

SK2 / S02S23 Februari 2018

Nchini Tanzania chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kinaomboleza kwa mara nyengine tena baada ya kuuwawa kikatili diwani wa kata ya Namawala wilyani Kilombero, Godfrey Lwena// Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo mjini Brussels kwa ajili ya mazungumzo ya awali juu ya mipango ya bajeti ya muda mrefu baada ya kujiondoa kwa Uingereza kwenye Umoja huo.

https://p.dw.com/p/2tD07