Deutsche Welle:Katika ligi ya Ulaya, Schalke imeingia robo fainali baada ya kuifunga Viktoria Pilzen mabao 3-1. Hannover pia imefuzu kwa kuishinda Brugge 3-1.