Mvua kubwa za El nino zilizoambatana na upepo mkali, mafuriko na maporomoko ya udongo katika maeneo mbalimbali nchini Tanzania zimesababisha vifo vya watu 155 nchini Tanzania+++Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonya kwamba Umoja wa Ulaya unaweza kuwa hatarini kutokana na ushindani kutoka Marekani