Gari inayoendeshwa na muuaji wa kujitoa muhanga maisha, yaua watu 11 nje ya jela moja kaskazini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Waziri Mkuu wa Uingereza Rishi Sunak atakutana leo Jumatano na Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz.
Ujumbe wa viongozi kutoka Korea Kaskazini ukiongozwa na Waziri wa biashara wameelekea nchini Iran katika ziara ya nadra baina ya viongozi wa mataifa hayo mawili.
Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ametangaza kuwa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya haki za binadamu itaanza tena kufanya kazi nchini humo.