1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

5 wauwawa Mogadishu

23 Desemba 2007

---

https://p.dw.com/p/CfPq

MOGADISHU:

Si chini ya watu 5 wameuwawa na 8 wengine wamejerihiwa katika kufyatuliana risasi kwenye kambi ya wanajeshi wa Ethiopia mjini Mogadishu, mji mkuu wa Somalia jana usiku.Mkaazi wa Mogadishu, Ali Dhagey amearifu kwamba ndugye ameuliwa na risasi zilizotawanyika wakati akiwa amelala na Hussein Osman amearifu kwamba majirani zake 4 pia wameuwawa.