1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ABIRIA 11 WAFARIKI

24 Machi 2007
https://p.dw.com/p/CCFv

MOGADISHU:

Abiria wote katika ndege ya kupakia shehena iliotunguliwa jana katika anga la Mogadishu,Somalia, wameuwawa-hii ni kwa muujibu wa chama cha mwezi-mwekundu.Abiria 10 walifariki papo hapo wakati mmoja aliaga dunia hospitali.