1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika na Marekani kushirikiana kuangamiza ugaidi

Charles Ngereza20 Mei 2016

Wakuu wa majeshi ya nchi kavu wa nchi za Afrika wemafanya mkutano na jeshi la Marekani kuimarisha usalama Afrika. Mkutano huo wa kilele umefanyika Arusha, Tanzania. Wajumbe wameahidi kufanya kazi pamoja.

https://p.dw.com/p/1IrCD
Meja Jenerali Darryl A William wa Marekani na Meja Jenerali James Aloisi Mwakibolwa wa Tanzania
Picha: DW/C. Ngereza

[No title]

Wajumbe wa mkutano wa wakuu wa majeshi ya nchi kavu Afrika na Marekani
Wajumbe wa mkutano wa wakuu wa majeshi ya nchi kavu Afrika na MarekaniPicha: DW/C. Ngereza
Meja Jenerali Darryl A William (kushoto) wa Marekani na Meja Jenerali James Aloisi Mwakibolwa, mkuu wa jeshi la nchi kavu Tanzania
Meja Jenerali Darryl A William (kushoto) wa Marekani na Meja Jenerali James Aloisi Mwakibolwa, mkuu wa jeshi la nchi kavu TanzaniaPicha: DW/C. Ngereza