1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Mashariki yapambana na joto kali

Elizabeth Shoo23 Machi 2016

Jua kali limewaghadhabisha wakazi wengi wa nchi za Afrika Mashariki. Daktari Abdallah Waititu anaeleza nini cha kufanya kulinda ngozi na athari za jua la moja kwa moja kwa mwili wa binadamu.

https://p.dw.com/p/1II45
Kuongezeka kwa joto. Copyright: imago/Xinhua
Picha: imago/Xinhua

[No title]