1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika, ukabila na siasa

11 Juni 2012

Kwa miaka mingi sana, dhana ya ukabila imeendelea kuyatafuna mataifa mengi ya Afrika na matokeo kuzalisha mduara wa papo kwa papo wa visasi na umwagikaji damu.

https://p.dw.com/p/15CGT
Ukabila ni miongoni mwa sababu za kulazimika Umoja wa Mataifa kupeleka majeshi yake Afrika.
Ukabila ni miongoni mwa sababu za kulazimika Umoja wa Mataifa kupeleka majeshi yake Afrika.Picha: picture-alliance/dpa

Othman Miraji anaongoza kipindi cha Maoni kutoka Deutsche Welle, ambapo mada tete ya ukabila na siasa barani Afrika inajadiliwa. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama za spika za masikioni hapo chini.

Kipindi: Maoni
Mtayarishaji: Othman Miraji
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman