Afrika yaungana katika vita dhidi ya kuangamia kwa tembo
Elizabeth Shoo29 Aprili 2016
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema nchi yake itaongoza juhudi za kupiga marufuku biashara ya bidhaa zitokanazo na wanyamapori. Ameyasema hayo katika mkutano wa kilele uliyohudhuriwa na viongozi wa Afrika.