1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afya – Kipindi 7 – Kuwahudumia wagonjwa

16 Machi 2011

Bweni ya Mandela imegeuka kuwa jalala. Hakuna hata mmoja mwenye kutilia maanani usafi wa nyumba wala usafi binafsi. Ndio maana Jimmy anaumwa. Nini unachotakiwa kukifanya iwapo rafiki yako mkubwa anaumwa?

https://p.dw.com/p/QpNV