1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Ajali ya meli Bandarini Zanzibar

2 Juni 2009

Kazi ya uokoaji bado inaendelea katika meli iliyozama huko Zanzibar, ikiwa hadi sasa watu sita ndio wanaotambulika kuwa wamekufa maji.

https://p.dw.com/p/I2Ja
Bandari ya ZanzibarPicha: DW /Maya Dreyer

Je kazi hiyo inaendeleaje , Sekione Kitojo alipata fursa ya kuzungumza na waziri wa nchi ofisi ya waziri kiongozi Hamza Hassan Juma, ambaye alimfahamisha hatua zilizokwisha chukuliwa.


Mwandishi: Sekione Kitojo
Mhariri: Mohamed Abdulrahman