1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ALGIERS: Belkhadem kuendelea na wadhfa wa waziri mkuu

5 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBul

Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria ameteua serikali mpya na kumbakisha katika wadhfa wake waziri mkuu wa nchi hiyo Abdelaziz Belkhadem.

Vyama mseto vya Algeria vinavyo ongozwa na chama cha bwana Belkhadem cha National Liberation Front FLN vilishinda katika uchaguzi uliomalizika hivi majuzi wa tarehe 17 mwezi Mei.