1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Alianza mitaani tu, sasa yuko RB Leipzig

18 Januari 2018

Mchezaji wa timu ya taifa ya Guinea Naby Keita ambaye pia anaisakatia kabumbu klabu y RB Leipzig Ujerumani, ametokea familia maskini. Alianza kucheza mpira katika mitaa ya Conakry na watoto wenzake, ila umahiri wake ukamfanya aende Ulaya na sasa hivi ni Nyota mkubwa Afrika.

https://p.dw.com/p/2r7A3