1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Amadou Moussa Coulibaly, Mali

23 Mei 2013

Amadou Moussa Coulibaly ni mwenyekiti wa jumuia ya vijana "Le Mouvement Jeunesse Avenir", yaani Vuguvugu la Mustakbal wa Vijana, katika mji mkuu wa Mali Bamako, anayehisi kuwa vijana hawatilii maanani Umoja wa Afrika.

https://p.dw.com/p/18c4T
Fotograf ist Yaya Konaté, Korrespondent der Französisch-Redaktion in Mali. Das Bild zeigt Amadou Moussa Coulibaly und wurde in Bamako, Mali aufgenommen. Zulieferer: Friederike Müller
50 Jahre Afrikanische UnionPicha: Yaya Konate

"Matarajio yangu kwa Umoja wa Afrika,hayatatekelezwa hata kidogo. Wakati umewadia kuupatia Umoja wa Afrika sura mpya ili kuimarisha umoja. Vijana wanaweza kuchangia pakubwa. Matatizo ya vijana ni ya aina moja kokote kule waliko. Wakibadilishana fikira, wanaweza kupata ufumbuzi na hasa kwaajili ya Umoja wa Afrika."