1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

AOM: Utengenezaji Magari Ghana

10 Septemba 2015

Mafuta, dhahabu, na kakao: vitu muhimu kwa uchumi wa Ghana. Kama mataifa mengi ya bara la Afrika, Ghana inategemea zaidi mali ghafi kuingiza fedha za kigeni. Lakini taifa hilo lina mapungufu ya viwanda vya uzalishaji. Yusra Buwayhid anaangalia juhudi za mfanyabiashara mmoja aliyeamua kuibadilisha hali hiyo kwa kuiingiza Ghana kwenye soko la magari.

https://p.dw.com/p/1GUhZ

Mafuta, dhahabu, na kakao: vitu muhimu kwa uchumi wa Ghana. Kama mataifa mengi ya bara la Afrika, Ghana inategemea zaidi mali ghafi kuingiza fedha za kigeni. Lakini taifa hilo lina mapungufu ya viwanda vya uzalishaji. Malori pamoja na vifaa vinavyohitajika vyote vinahitaji gharama kubwa. Yusra Buwayhid anaangalia juhudi za mfanyabiashara mmoja aliyeamua kuibadilisha hali hiyo kwa kuiingiza Ghana kwenye soko la magari.