1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

App ya Uber yatishia madereva taxi Nairobi

Elizabeth Shoo10 Februari 2016

Kipindi cha Sema Uvume wiki hii kinaangalia mzozo wa App ya Uber na waendesha taxi jijini Nairobi, Facebook inavyotumika kuchochea ghasia Mashariki ya Kati na umuhimu wa WhatsApp kwa jamii.

https://p.dw.com/p/1HsbS
App ya Uber
Picha: picture-alliance/dpa/Da Qing

[No title]