1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD: Operesheni kubwa dhidi ya washukiwa wa al-Qaeda nchini Iraq

19 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBqK
Majeshi ya Marekani nchini Iraq,yamefanya mashambulio makali dhidi ya wanamgambo wanaotuhumiwa kuhusika na mtandao wa kigaidi wa Al-Qaeda.Ripoti zinasema,kama wanajeshi 10,000 wa Kimarekani na Kiiraqi wanashiriki katika operehseni hiyo,ndani na ukingoni mwa mji wa Baguba uliokumbwa na machafuko.