1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD:viongozi watafuta uelewano nchini Irak

19 Agosti 2007
https://p.dw.com/p/CBXt

Viongozi wa jumuiya muhimu nchini Irak wameanza mazungumzo ya kuleta ulewano nchini humo.

Naibu waziri mkuu bwana Barham Saleh amesema kuwa viongozi hao wanakutana tena leo ili kutafuta njia za kuleta maridhiano baina ya wasuni,washia na wakurdi.