1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baghdad.watu wanane wauwawa kwa bomu.

7 Oktoba 2006
https://p.dw.com/p/CD5A

Watu wanane wameuwawa na wengine sita wamejeruhiwa baada ya gari ambamo mtu mmoja aliyejitoa mhanga kugonga kituo cha doria cha jeshi la Iraq katika mji wa kaskazini wa Tal Afar.

Mji huo uko kilometa 420 kaskazini ya mji mkuu Baghdad.

Polisi wa eneo hilo wamesema kuwa raia wanne ni miongoni mwa wale waliouwawa.