1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAGHDAD:Waziri Mkuu wa Australia afanya ziara nchini Irak

18 Machi 2007
https://p.dw.com/p/CCHy

Waziri Mkuu wa Australia bwana John Howard amekutana na waziri mkuu wa Irak bwana Nuri al Maliki mjini Baghdad na kumhakikishia mwenyeji wake kuwa Australia itaendelea na azma ya kuweka majeshi yake nchini Irak hadi lengo linalokusudiwa litakapotimizwa licha ya kuongezeka upinzani dhidi ya vita vya Irak miongoni mwa watu wa Australia.