1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BAKU:Azerbaijan yakubali makombora ya Marekani na Urusi kuwekwa nchini mwake

8 Juni 2007
https://p.dw.com/p/CBtg

Nchi ya Azaerbaijan inakubali mapendekezo ya rais wa Urusi Vladimir Putin ya kutumia radar ya pamoja na Marekani katika nchi yake kwenye mpango wa kuweka makombora ya kujihami.Kulingana na Azerbaijan hatua hiyo itaimarisha usalama katika eneo hilo.

Marekani inashikilia kuwa mpango huo ni kujilinda dhidi ya nchi kama Iran na Korea kaskazini wala sio kulenga Urusi.