1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza la Seneti Marekani lapitisha mswada wa kupunguza kodi

20 Desemba 2017

Baraza la Seneti la Marekani lapitisha mswada wa sheria wa kupunguza kodi unaopingwa na Wademocrats. Saudia Arabi yadai kuzuia roketi lililorushwa na waasi wa kundi la Houthi. Na Cyril Ramaphosa atarajiwa kuhutubia kwa mara ya kwanza kama kiongozi wa chama tawala cha Afrika Kuisni - ANC.

https://p.dw.com/p/2piVp