1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza la vyama vya Kijamii zisizo za kiserikali lazinduliwa nchini Tanzania

10 Septemba 2008

Umoja wa Afrika umezindua baraza la vyama vya kijamii.

https://p.dw.com/p/FFcM
Jiji la Dar es Salaam kuliko zinduliwa Baraza la vyama vya kijamiiPicha: DW /Maya Dreyer


Jana mjini Dar Es Salaam umoja wa Afrika umezindua rasmi baraza la vyama vya kijamii ama asasi zisizo za kiserikali ambalo linapigiwa upatu kuimarisha uwezo wa bara hilo. Sekione Kitojo alizungumza na mkurugenzi wa kituo cha sheria na haki za binadamu nchini Tanzania wakili Francis Kiwanga ambapo kwanza alitaka kujua kazi hasa za baraza hili.