1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayer Leverkusen, wako imara kweli ama ni povu la soda?

11 Machi 2024

Bayer Leverkusen iko kileleni mwa Bundesliga ikiwa na alama 67, alama 10 mbele ya Bayern Munich huku zikisalia mechi tisa pekee ligi kuu ya Ujerumani ikamilike. Leverkusen inasaka mataji mataji msimu huu ikiwemo Ligi ya Ulaya na Kombe la DFP Pokal. Babu Abdalla amezungumza na Josephat Charo juu ya nafasi ya Xabi Alonso kuiongoza Leverkusen kushinda taji lao la kwanza la Bundesliga.

https://p.dw.com/p/4dPTM