1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayer Leverkusen yaendelea kupepea kileleni mwa Bundesliga

Josephat Charo
26 Februari 2024

Bayer Leverkusen waendelea kupepea kileleni mwa Bundesliga. Kocha wa Bayern Munich Thomas Tuchel ashinda mechi ya kwanza baada ya kutangazwa ataondoka mwisho wa msimu. Real Madrid yatanua mwanya wa alama nane kileleni mwa La Liga. Yanga yaandika historia kwa kufuzu robo fainali ya klabu bingwa Afrika kwa mara ya kwanza.

https://p.dw.com/p/4cu8H