1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BENGUELA: Zoezi la kuandikisha wapigakura larefushwa

22 Mei 2007
https://p.dw.com/p/CBzZ

Maafisa nchini Angola,wameamua kurefusha kwa miezi mitatu mingine zoezi la kuandikisha wapiga kura kwa chaguzi zijazo nchini humo.Uchaguzi wa rais,umepangwa kufanywa mwaka 2008 na mwaka mmoja baadae wapiga kura watachagua bunge jipya katika nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta.Uchaguzi huo wa kihostoria utaanzisha enzi mpya ya kidemokrasia,kwa kuruhusu zaidi ya chama kimoja cha kisiasa.