1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN:Polisi ya Ujerumani kuchunguza vifo vya wandishi habari wa DW.

12 Oktoba 2006
https://p.dw.com/p/CD3g

Polisi ya Ujerumani imepeleka wataalamu nchini Afghanistan watakaochunguza vifo vya wandishi habari wawili wa radio DW waliouawa kwa kupigwa risasi mwishoni mwa wiki iiyopita.

Maafisa hao wa polisi ya Ujerumani watashirikiana na idara za Afghanistan katika kufanya uchunguzi huo.

Wandishi hao wawili walikutwa wameuawa wakiwa na majeraha ya risasi ndani ya hema lao.

Hadi sasa hakuna habari zozote juu ya mauji hayo.