1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

BERLIN.Uchumi wa Ujerumani kustawi

22 Aprili 2007
https://p.dw.com/p/CC8D

Serikali ya Ujerumani imesema kuwa uchumi wa nchi unatarajiwa kustawi kwa asilimia 2 nukta 4 mwaka huu.

Waziri wa uchumi bwana Michael Glos ameeleza hayo. Hapo awali kulikuwa na utabiri wa asilimia 1 nukta saba katika ustawi wa uchumi.