1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bibi Charity Ngilu kuwania nafasi ya Urais nchini Kenya

5 Machi 2007

Nchini Kenya msukosuko umeanza kuikabili serikali ya Rais Mwai Kibaki baada ya waziri wa Afya Bibi. Charity Ngilu kumkosoa hadharani na kutangaza nia yake ya kuwania nafasi ya urais.

https://p.dw.com/p/CB5Q
Wananchi wa Kenya wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi uliopita
Wananchi wa Kenya wakisubiri kupiga kura katika uchaguzi uliopitaPicha: AP
Hii ni mara ya pili Bibi Ngilu anatangaza hilo. Kutoka Nairobi mwandishi wetu Mwai Gikonyo anaripoti zaidi.