1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bomu jengine laripuka Kenya

Admin.WagnerD25 Oktoba 2011

Mtu mmoja ameuawa na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa katika mripuko wa pili uliotokea katika kituo cha basi mjini Nairobi nchini Kenya hapo jana (24.10.2011) usiku.

https://p.dw.com/p/12yK0
Jeshi la Kenya lilipokuwa likijitayarsha kuingia Somalia.
Jeshi la Kenya lilipokuwa likijitayarsha kuingia Somalia.Picha: dapd

Mashambulizi haya yanafuatia yale ya awali yaliyotokea katika mkahawa mmoja mapema hapo jana na kuwajeruhi watu takriban 14.

Maryam Abdalla anazungumza na mwandishi wa Deutsche Welle jijini Nairobi, Allfred Kiti, kuhusiana na hali ilivyo kwa sasa.

Mahojiano: Maryam Abdalla/Alfred Kiti
Mhariri: Miraji Othman