1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bunge la Uingereza launga mkono uchaguzi wa mapema

Grace Kabogo
19 Aprili 2017

Bunge la Uingereza limepiga kura kuunga mkono uchaguzi wa mapema uliotishwa na Waziri Mkuu, Theresa May Juni 8 kwa kura 522 dhidi ya 13; Makamu wa Rais wa Marekani, Mike Pence ameionya Korea Kaskazini kutolichokoza jeshi lake; na Japan imeanza kuwaondoa wanajeshi wake Sudan Kusini.

https://p.dw.com/p/2bWrw