1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

"Burundi si salama kwa wanaorejea"

Sudi Mnette
29 Septemba 2017

Amnesty Int: Idadi kubwa ya wakimbizi wa Burundi katika mataifa kama Tanzania na Uganda wanahofia kurejea makwao kwa hofu ya kuuwawa na Idadi ya Warohingya nchini Bangladesh yafikia laki tano. Papo kwa papo 29.09.2017

https://p.dw.com/p/2kz3z